Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Diamond Platnumz 'Atundikiwa Dripu Kisa Zari', Amefunguka Hapa

Diamond Platnumz 'Atundikiwa Dripu Kisa Zari', Amefunguka Hapa
Kupitia mtandao wa Instagram, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameandika kuhusu 'kutundikiwa dripu' kisa mapenzi ya Zari ambaye ni mama wa mtoto wake.
Diamond Platnumz 'Atundikiwa Dripu Kisa Zari', Amefunguka Hapa
Ameandika haya "A very Special Mother's day to this Beautiful and Humble soul of Mine @zarithebosslady ... i wish you can understand how much i love you, Mpaka natiwa Dripu😥....wenyewe wanasema kuzaa sio tija, ila kumpata Mwanamke akajua kumlea mtoto wako Vyema ndio kazi inakuwaga hapo... Shukran sana kwa zawadi hii kubwa ya Mtoto mzuri na kuendelea kumlea vizuri..... sjui na lile jipu pia Ntumbue😃.... aaagh! Anyway'z😝🙋 tutakutana Mbeleni😆"

-tubongetz Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.