Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET 2016

Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa. Staa huyo atachuana na nguli wengine wa Afrika wakiwemo Wizkid, Yemi Alade wa Nigeria, AKA, Cassper Nyovest na Black Koffie wa Afrika Kusini na wengine wawili.
Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi June nchini Marekani. Diamond pia atatumbuiza June 26 kwenye tuzo hizo. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.