Advert

Breaking News

Video: Ile Ngoma Ya Diamond Ft Neyo Utamu Wake Umeanza Kuvuja Hapa, Jionee Mwenyewe.

Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.