Advert

Breaking News

Jionee Video na Picha Jinsi Diamond na Mafikizolo Walivyokuwa Gumzo Bungeni Leo Asubuhi

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.