Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Bifu la Shilole na Vanessa Mdee Lazidi kupamba Moto Warushiana Maneno Makali Instagram


Ni juzi tu tuliona video ya msanii wa kimataifa vanessa mdee akimfundisha yai local artist Shishi baby salon cha ajabu ni leo ghafla wamenza kutupiana maneno uko instagram
shilole alianza na ujumbe huu


Haikuchukua mda nae vanessa mdee v. money amendika maneno haya kupitia instagram account yake

"Nikupe KICKIII ujulikane au sio? Kila siku twanyamaza ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio wale uliowazoea. P.s: You ain't worth this post inashushwa sasa hivi" #MessageSent
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.