Video: Wasichana Wakipigana Jukwaani Kugombania T-shirt ya Harmonize - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Wasichana Wakipigana Jukwaani Kugombania T-shirt ya Harmonize

post-feature-image
Video ambayo imezagaa mtandaoni week hi ni hii inayo waonyesha wasichana hawa wawili wakigombana jukwaani kwaajili ya t-shirt tu ya hit maker wa Bado, Harmonize. Harmonize alisema kuwa atakaye weza kumvua t-shit basi ataondoka naye, Kilichotokea ni wasichana hawa wawili kulivamia jukwaa nakumvua t-shit hiyo kisha kugombania ni nani aondoke nayo. 

-tubongetz
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.