Advert

Breaking News

Nusu fainali UEFA: Man City v Real Madrid, Atl Madrid v Bayern Munich

Ratiba ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo atarudi jijini Manchester kupambana na mahasimu wa United, Manchester City.

Manchester City itawaalika Real mwezi Aprili kabla ya kusafiri kwenda Madrid.
Fainali ya UEFA mwaka huu itafanyika mjini Milan Mei 28

Nao Atletico Madrid na Bayern Munich watapambana katika nusu fainali.

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka huu itafanyika mjini Milan Mei 28.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.