Advert

Breaking News

Man City v PSG: Nani kutinga nusu fainali ?

Kikosi cha Man City dhidi ya PSG

Manchester City wana magoli mawili ya ugenini kuelekea mpambano dhidi ya Paris Saint-Germain.

City ilitoka suluhu ya 2-2 dhidi ya PSG katika hatua ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa UEFA.

Kikosi cha Manuel Pellegrini kitaingia nusu fainali endapo kitashinda mchezo wa leo.
Sehemu ya kuingilia uwanjani

Kikosi cha Man City:

Hart, Sagna, Otamendi, Mangala, Clichy, Fernando, Fernandinho, Navas, Silva, De Bruyne, Aguero.

Mchezao huo wa Ligi ya Mabingwa unatarajiwa kuanza 3:45 usiku (saa za Afrika Mash) katika Uwanja wa Etihad.

Ratiba kamili ya robo fainali Uefa;
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.