Advert

Breaking News

Jokate Atoa Dili Kwa Hamisa, Tunda na Warembo Wengine Kutangaza Nywele Mpya

Wanawake wa Tanzania wameamua kupeana mashavu. Jokate Mwegelo amewatumia warembo maarufu wakiwemo Hamisa Mobeto, Miss Tanzania wa zamani, Gena Mpangala, Tunda na Husna Maulid, kupromote nywele zake mpya za Malaika kupitia brand yake ya Kidoti.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.