Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Idris na Wema chumbani , Video hii yaonyesha Wema akimvalisha nguo.

post-feature-image
Siku za hizvi karibunu habari zilisambaa kwenye vyombo vya habari na blog mbali mbali nchini na hata nje a nche nikizizungumzia zile za Afrika Mashariki kuwa aliyekuw amshindi wa BBA Idris Sultan ameachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye alishawahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006/07 Wema Sepetu baada ya video kusambaa mtandaoni zikimuonyesha Wema akimbusu mvulana mwingine.
Ila video nyingine tena zimesambaa mtandaoni zikionyesha uwepo wa asilimia kubwa ya wawili hao kuwa pamoja kwasasa. Video inamuonyesha Wema Sepetu akimvalisha nguo Idris Sultan wakiwa chumbai, Kisha Idris anaonekana na nguo hizo hizo kwenye matukio mbali mbali nakudhihisrisha kuwa kwasasa wawili hao inaonekana wapo pamoja.


Tazama video hapa chini.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.