Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Picha: Wema Sepetu Alivyopamba Mapokezi ya Lulu Michael Jana Kutoka Airport.

 Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi..Wema Alipendeza Sana na kuonekana mwenye furaha muda wote wa msafara......


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.