Advert

Breaking News

Nicki Minaj Apiga Bonge la Show South Africa


Nicki Minaj amezikonga nyoyo za mashabiki wake jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii.

Show hiyo imefanyika kwenye ukumbi wa TicketPro Dome.


Rapper huyo alionesha kuvutiwa na muitikio wa show yake na hakuficha upendo wake kwa wasouth.

“Dear South Africa, I am deeply in love with you. Can’t thank you enough for tonight,” aliandika Instagram.

“omg. I said “South Africa, u mean the wooorrrlldd to meeee. How do u do dat shit?” ~ lol so in love with them,” aliandika kwenye post nyingine.

Kwenye show hiyo, Nicki alitumbuiza hits zake zikiwemo Anaconda‚ Pills & Potions‚ Super Bass, Starships na zingine.

Ijumaa hii atatumbuiza tena kwenye ukumbi wa TicketPro Dome kabla ya kwenda Durban kwa show ya Jumapili na kisha Cape Town siku ya Jumanne.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.