Advert

Breaking News

Miaka Sita ya Mahusiano Na Sioni Dalili Ya Ndoa, Naomba Ushauri Wako.

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 27. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.  Naombeni  ushauri  jamani .
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.