Advert

Breaking News

Jose Chameleone Asitisha Kufanya Tamasha Lake Mwaka Huu.

Muimbaji Dr. Jose Chameleone amesitisha kufanya tamasha kubwa la muziki analofanya kila mwaka nchini Uganda.

Chanzo cha taarifa hizi kinasema Chameleone ametangaza kutofanya tamasha hilo na pia kusema kwa sasa hatengenezi muziki kwaajili ya Uganda tu ila kwaajili ya Dunia nzima.

Jose alisema “Una Boycotting my music? I boycotted Ugandans two years ago. Have you seen me organize a concert in the past one year? I won’t organize one this year, and the next two years. I am targeting the international audiences; Africa and worldwide audiences”.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.