Advert

Breaking News

Huyu Ndiye Mpenzi wa Baraka Da Prince, Ni Msanii Wa Bongo Fleva.

Baada ya stori tofauti kusamba kwenye mitandao ya kijamii, imesemekana kuwa kwa sasa Baraka da Prince hayuko tena na msanii wa filamu Tanzania Nisher ila anatoka na msanii wa bongo Fleva Najma Aka Naj.
Haya ni maneno ya Barak Da Prince yaliyoambatana na Post ya kichwa cha mwanamke aliyelala naye.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.