Advert

Breaking News

Diamond Akiwa na Familia Yake Nchini Sweden (Picha)

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz akiwa pamoja na familia yake,mama yake, mtoto wake (Tiffah) pamoja na mzazi mwenzie (Zari) wakiwa nchini Sweden.
Diamond yupo barani ulaya kwa akifanya show kwenye nchi mbali mbali.

#FromTandaleToTheWorldTour
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.