Advert

Breaking News

Breaking News: Chadema Washinda Uchaguzi Kiti cha Umeya Jiji la Dar es Salaam.

Uchaguzi Meya DSM Isaya Mwita - CHADEMA mshindi wa Umeya jiji la DSM kwa kura 84 dhidi ya kura 67 za Yenga Omary - CCM ambapo Kura7 zimeharibika. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.