Alikiba "Lupela" Kuonyeshwa rasmi leo MTV Base ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba "Lupela" Kuonyeshwa rasmi leo MTV Base !

Leo ni siku ambayo wimbo mpya wa Alikiba "Lupela" utakapoanza kuonyeshwa rasami kwenye kituo cha televisheni cha MTV Base. Taarifa hii imetolewa jana na kituo hicho kikubwa cha televisheni na kuwapa furaha kubwa mashabiki wa msanii huyu kwani imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kuonekana kwenye vituo vya kimataifa. Kaa karibu na TV yako leo na kuweza kushuhudia kuanzia muda wa saa 6 kamili mchana. 
Unaweza kuiona video hii hapa.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.