Advert

Breaking News

Mwanamuziki Mromboso Amuweka Wazi Baba yake Mzazi baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba Maromboso.

Maromboso kutoka Yamoto Band ameamua kumuonyesha baba yake Mzazi baada ya Jamaa mmoja wa Bodaboda Kujitangaza kuwa yeye ndiye Baba Maromboso, Maromboso aliposti Picha na Kuandika “Huyu Ndo Baba yangu …..Mzee Yusuph Kilungi … Sasa huyo jamaa Wa Tegua mtego ” Boda boda anayejita Baba Maromboso ajipange“
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.