Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Huddah Monroe Amjibu Mustapha Colonel Amtaka Aseme Lini na Wapi Walifanya nae Mapenzi Mara 50

Week iliyopita mwanamuziki kutoka Kenya Mustapha Colonel akiwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari alijitamba kuwa ameshawahi kulala na Mrembo Huddah Monroe kutoka Kenya Mara Hamsini..na akamsifia kuwa anajua sana mambo kunako sita kwa sita...

Sasa Huddah Monroe Amejitokeza na kujibu kama ifuatavyo:
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.