Advert

Breaking News

Haya Sasa, Johari Asaka Mchumba

Mwigizaji mkongwe wa bongo movie Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa anatafuta kijana wa kuwa naye katika maisha.
Msanii huyo ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano maalum na kipindi cha ENews kinachorushwa na kituo cha EATV.

‘Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye”Amesema Johari.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.