Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Video: Mradi wa Tazara Flyover utakavyokuwa baada ya kumalizika.

Video imeachiwa ikionyesha barabara ya Tazara jijini Dar es Salaam itakavyoonekana baada ya kumalizika kwa mradi wa ujenzi wa barabara za juu (flyover).

Mradi wa barabara za juu Tazara ni kwa ajili ya kupambana na msongamano wa magari ambao umekithiri katika barabara za jiji la Dar.

Mradi wa Tazara Flyover jijini Dar es Salaam Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.