Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Tundu Lissu: Viatu vya Dk. Slaa Vikubwa Kumpata wa Kuvivaa Ipo Shughuli

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema kuwa viatu vya Dkt. Slaa ni vikubwa, hivyo kupata mtu wa kuvivaa na vikamuenea ni ngumu.
Amesema Mwenyekiti wa Chama ndiye mwenye mamlaka ya kumchagua mtu anayeona ana uwezo wa kutosha wa kukiongoza chama kwa nidhamu.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

1 comment:

  1. Sasa tena mnamletea kashifa dk slaa
    Kakiendeleza chama mpaka hapo mlipofiaka amakweli shukrani akina kukadiria

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.