Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Rooney Aifikia Rekodi ya Thierry Henry

Wayne Rooney akishangilia goli la pili katika mechi ya 3-3 dhidi ya Newcastle
Wayne Rooney amefunga magoli 175 akiwa na Manchester United.
Rooney anaonekana kuifikia rekodi ya magoli ya Thierry Henry akiwa kwenye klabu moja.
Gwiji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry
Gwiji wa Arsenal Thierry Henry
Nahodha huyo wa Unitd amefunga magoli manne akiwa na kikosi chake kwenye mechi tatu zilizopita.
WAFUNGAJI MAGOLI WA MUDA WOTE WANAOONGOZA LIGI KUU
Alan Shearer: 260
Wayne Rooney: 190
Andy Cole: 187
Frank Lampard: 177
Thierry Henry: 175
Robbie Fowler: 163
Gwiji wa Liverpool Robbie Fowler alifunga magoli 128 akiwa Merseyside
Gwiji wa Liverpool Robbie Fowler alifunga magoli 128 akiwa Merseyside
waza2
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.