Advert

Breaking News

Ngoma mpya ya Alikiba “LUPELA” kutoka tarehe 4.

Baada ya kimya cha muda mrefu, mkali wa Cheketua maarufu kama Alikiba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku ya Alhamisi ya tarehe 4.

Katika Mtandao wa Instagram, Alikiba ameandika “#Lupela dance at Hollywood studios#WildAid project#Lupela official release – Feb 4, 2016.#KingKiba“.

Kuwa pamoja nasi ili uweze kuwa wa kwanza kupata ngoma hii kali kutoka kwa Alikiba. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.