Advert

Breaking News

Zari amsifia mwanaye huyu kwakusema atakuwa 'Sukari ya Warembo'

post-feature-image
Kila mzazi ni lazima kumkubali mtoto wake, Roho ya kumkubali mtoto kuwa anaweza kufanya mazuri hudumu na kuzaa mema kama isemwavyo na wengi 'Maneno huumba'.

Mpenzi wa Nasib Abdul 'Zari Hassan' naye ameanza kumpa baraka mtoto wake huyu wa kiume kwakusema atakuwa ni hatari kwenye maisha yake kutokana na pozi anazo ziweka.
Kwenye Instagram akiambatanisha na picha hiyo hapo juu, Zari ameandika haya:

"The poses and looks you pull when standing next to your fabulous mum. This dude is gona be trouble....��" Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.