Advert

Breaking News

TRA Yakusanya Bilioni 5 Za Kodi Ya Makontena !

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA,Phillip Mpango  amewasimamisha kazi wafanyakazi 37 mchana huu  kupisha uchunguzi wa sakata la upotevu wa makontena bandarini

Mpango pia ametoa agizo la watumishi wote wa TRA kuwasilisha taarifa za mali zao kwa utawala na kusiwepo na udanganyifu wowote.

Amesema mpaka sasa TRA imekusanya kiasi cha Tsh Bilioni 5 za kodi ya makontena hayo yaliyokuwa yamepitishwa kinyemela Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.