Advert

Breaking News

Vitanda na Magodoro Yamwagwa Muhimbili Hospital...Ni Baada ya Rais Magufuli Kusema Haya

Jumla ya vitanda 500 na magodoro 500 vimeshushwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana Baada ya Rais Magufuli Kuamuru hela za kufanyia Sherehe yake zaidi ya mil 200 zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.