Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Rick Ross Avunja Uchumba na Mrembo Lira Galore Baada Ya Ugomvi Mkubwa !

Mapenzi kati ya rapper Rick Ross na mchumba wake Lira Galore yamefikia ukingoni baada ya kutokea ugomvi mkubwa kati yao, ikiwa ni takribani miezi miwili toka watangaze kuwa wachumba, TMZ imeripoti.
rick-ross-lira-galore
Bado haijafahamika sababu kubwa ya ugomvi huo uliosababisha Rozay na mchumba wake kuvunja uchumba, lakini inasemekana kuwa Galore ameondoa vitu vyake kutoka kwenye nyumba ya rapper huyo.
Lira
Rozay alimvisha pete ya uchumba Galore yenye thamani ya $350,000 mwezi September baada ya kudate naye kwa miezi michache. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.