Advert

Breaking News

Penny "Ipo Siku Huu Ugonjwa Utatoa Uhai Wangu" Ni Ugonjwa Gani ? Ipo Hapa

MTANGAZAJI aliyewahi kuwa mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa‘Penny’ amesema kuwa ugonjwa wa pumu unamsumbua sana na anahisi utamtoa duniani.

Akizungumza na Ijumaa kwa shida akiwa Hospitali ya AAR iliyopo Sinza jijini Dar, Penny alisema amekuwa akisumbuliwa sana na tatizo hilo na linapomjia hawezi kabisa kupumua mpaka awekewemashine maalum.

“Mimi ipo siku huu ugonjwa utatoa uhai wangu kabisamaana nimeshatumia dawa nyingi sana lakini kila mara hali inanirudia,kwa kweli nateseka sana ila naamini Mungu atanisaidia,” alisema Penny.


-GPL Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.