Advert

Breaking News

New Audio: Nay Wamitego - Nyumbani Kwetu | Download Hapa

BongoSwaggz.com inakuletea exclusive kutoka kwa Mr Nay Wamitego. Wimbo unaitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Pakua hili pini hapa:
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.