Advert

Breaking News

Mwanamuziki Vanessa Mdee Nae Ameshinda 1 Kwenye Tuzo Za AFRIMMA 2015.

Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuchukua Tuzo Tatu za Afrimma 2015, Vanessa Mdee Nae Ameibuka Kidedea.

#KutokaDallas @VanessaMdee ameshinda tuzo ya msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki. #Afrimma2015
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.