Advert

Breaking News

MKUU WA MAJESHI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AREJEA NCHINI.

 
Sakata la Mkuu wa majeshi lililotikisa Mitandao Mbalimbali hapa nchini kuhusu afya yakehatimaye Mkuu huyo wa Majeshi amerejea Nchini kutoka kwenye ziara ya Kikazi nje ya Nchi,Mkuu huyo wa Majeshi hayaonekana Hadharani kwa Muda mrefu ndipo zikaanza taarifa za kulishwa chakula chenye Sumu.Taarifa kuhusu kurejuea kwake nimekuwekea hapa
 
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.