Advert

Breaking News

Kingunge Kumnadi Lowassa Leo Arusha..Aomba Dakika 40 za Kumchana Chana Kikwete na CCM

Aliyekuwa kada mkongwe wa CCM mwenye kadi namba 7, ameomba muda wa dakika 40 za kumchana chana raisi Kikwete kwenye mkutano wa kampeni utakaofanyika leo jijini Arusha. Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.