Advert

Breaking News

Hatimaye AGNESS MASOGANGE Afungukia Penzi La DAVIDO

VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido.
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido.
Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kwamba amekuwa akitoka kimalovee na Davido jambo ambalo halina ukweli wowote.

“Kwanza kabisa Davido ni shemeji yangu lakini pia kuna ‘project’ kubwa ambayo tunaiandaa. Mtakuja kuelewa tu hapo mbeleni na si jambo la kusema ni wapenzi bila kuthibitisha,” alisema Masogange.


-GPL Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.