Advert

Breaking News

Alichokiandika Zitto Kuhusu Rafiki Yake Deo Filikunjombe

Zitto aliandika >>> ‘Naomba utulivu.

1) ajali ya helkopta imethibitishwa 

2) kuwaka hakujathibitishwa

3)ndugu yangu Deo alikuwamo 

4)hakuna uthibitisho wa madhara, naomba utulivu mpaka tupate taarifa rasmi zilizothibitishwa na mamlaka husika, naomba sana hilo ili kuepuka sintofahamu.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.