Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

SIASA: Zipo Hapa Picha 6 Za Mafuriko ya Lowassa Jana Mkoani Dodoma.

Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni  za Ukawa,Lowassa  ameendelea kuwa gumzo  sehemu mbali mbali anapofanya  mikutano   ya  kampeni  zake.
 
Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani 

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.