Advert

Breaking News

Picha,Rapa Rick Ross amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Lira.

rick-ross-lira
Rapa Rick Ross ’39’ ameonyesha Ganstar Love baada ya kumvalisha pete mpenzi wake wa muda mrefu Lira Mercer aka Lira Galore ’21’ .
Lira ameonyesha watu wake kupitia mtandao wa Snapchat na Twitter pete aliyovalishwa na Rozay na kuandika ‘YES’, When Its Real’ You Just Know’.
Lira ni Model na alianza kutoka na Rick Ross mwanzoni mwa mwaka huu.
lira 1 lira 2

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.