Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

Lissu Amjibu JK Kuhusu RICHMOND.

Siku moja baada ya Rais Kikwete kumtaka Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje muhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndio mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwajibisha mawaziri.
Juzi, akiwa Kigoma Rais Kikwete alieleza kumshanga Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mtu huyo anazunguka naye kwenye kampeni na kumtaka amtaje la sivyo yeye (Rais), atamtaja


-mwananchi.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.