Advert

Breaking News

Jokate na AliKiba Sasa Mambo Waziwazi...Wapetiana LIVE na Kushikana Mikono, Ipo hapa

Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Simba alionekana mfalme wake Kiba akiwa amepigilia blausi nyeupe, jeans ya blue na kofia ya blue iliyoandikwa ‘King.’
Kupitia Instagram mrembo huyo alipost picha akiwa uwanjani na kuandika: TeamYanga.


Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.