Advert

Breaking News

Basata Wameufungia Rasmi Wimbo Wa Roma- "Viva Roma Viva", Asema Haya..

romaa
Baraza la Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva ‘ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule. Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.
roma jee
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.