Advert

Breaking News

Baada ya Kumpa Ujauzito Mchumba Wake, Ne–Yo atangaza Kuoa

neeeeMwanamuziki kutoka nchini Marekani Ne-Yo ameweka wazi mahusiano yake baada ya tetesi kuzagaa kwamba anatoka na binti mrembo ambaye pia ni mwanamitindo Crystal Renay.
Ne–Yo ambaye hivi karibuni alikuwa bara la afrika kwa shughuli za kimuziki aliamua kuandika wenye akaunti yake ya twita, ni kweli anatoka na binti huyo na tayari ameshakuwa mchumba wake huku wakitarajia kufunga ndoa mwakani.
Ne–Yo pia amefunguka kwamba mchumba wake huyo kwa sasa ni mjamzito na wanatarajia kupata mtoto.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.