Advert

Breaking News

Video ya ‘Personally’ ya P-Square kwenye rekodi nyingine Afrika.

paso
Kundi La P Square limeingia kwenye rekodi mpya baada ya video ya ngoma yao ya ‘Personally’ kufikisha views milioni 50 kupitia mtandao wa YouTube.
Video hiyo iliyotoka mwaka 2013 imekuwa Video ya kwanza Afrika kufikisha idadi ya watu wengi zaidi waliyoitazama ambayo ilisimamiwa na kaka yao Jude Okoye.

Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.