Advert

Breaking News

Ray C Kuja Na DocumentaryYa Maisha Yake Ya Uteja

Ray C amedai kupata msaada kutoka Ujerumani utakaosaidia kuandaa documentary ya maisha yake.
Ray-C-710x434
Ray C ametangaza habari hiyo njema kwenye Instagram.
Sitakiwi kuongea ila kwa sababu Documentary inakamilika muda si mrefu nimeona niwambie tu kuwa Ray C Foundation imepata Donor mkubwa sana kutoka Germany.na tayari tumeshaanza kushoot Documentary ya maisha yangu ya Uteja!Documentary hii inanihisu Mimi kama mwanamuziki itaonyesha jinsi gani nilivyoanza kuvuta madawa ya kulevya na majanga yote niliyofanya ili niweze kununua unga na mengi sana mabaya niliyokutana nao kipindi niko hoi na unga Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.