Advert

Breaking News

Picha, Hii ndio sura ya mtoto wa Davido na picha ya mama Yake.

davidoooo
Finaly baada ya miezi mitatu msanii kutoka Nigeria ‘Davido’ ameweka wazi sura yote ya mtoto wake wa kike. Davido amekuwa akiandamwa na skendo za wanawake tofauti wanaoishi Marekani na kila mara amekuwa akikana na kusema mwanamke moja tu ndio yuko kwenye maisha yake ambaye ni huyu mtoto wake.
davido-and-baby-mama davidos-daughter
R
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.