Advert

Download Nyimbo Mpya

Breaking News

PICHA: Hali Ilivyokuwa Jana Arusha Na waliohamia CHADEMA, Jionee Hapa

Waliojiunga na CHADEMA ARUSHA  :
1.Lawrence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe (waziri w zamani wa mambo ya ndani)
2.Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara
3.Robinson Mwenyekiti wa uv ccm Arusha
4.Sioi Sumari (huyu alikuwa mshindani wa Joshua Nassari Arumeru Mashariki nadhani mnamkumbuka)
5.Yona Nko aliyekuwa mkiti ccm mkoa Arusha
6.Mgombea ubunge Simanjiro
7.Goodluck Sipira katibu wa ccm Arusha anatokea Longido
8.Wazee wa kimila wa kimasai nchi nzima
9.Wazee wa kimila wa kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu.
Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.