Breaking News

LOWASSA NDANI YA DALADALA


Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa akiwa kwenye daladala asubuhi hii kuangalia kero za wananchi maeneo ya Gongo la mboto kuelekea Chanika .
  
Nini maoni yako? Jiunge Nasi  >> Facebook <<  >> Instagram << na >> PlayStore << Kupata Habari na Burudani Fasta Kila Time.

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.