Advert

Breaking News

EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya

Baada ya mafuriko ya CCM jana pale jagwani katika uzinduzi wa Kampeni za Urais leo asubuhi Mh Lowassa ameamka na Kick ya kupanda daladala na kusikiliza matatizo ya wananchi laivu laivu...hizi hapa picha nne akiwa katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.