Advert

Breaking News

Dkt John Magufuli aahidi kuwapa Laptop walimu wote

Katika gazeti la Raia Mwema la leo 12.08.2015 toleo no.418 ipo habari ya Mgombea Urais wa CCM kuwa atawapatia walimu wote laptops ili kuinua kiwango cha elimu,na labda kwa fikra zake,kuondoa umaskini nchini...na kuwajengea walimu maandalizi mazuri ya kuipenda kazi yao.
-eddyblog
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.