Advert

Breaking News

Video inayoonyesha viwanja hatari vya ndege duniani! tazama ndege zinavyopaa na kutua

airports
Kuna hatari nyingi sana duniani na hii ni moja ya hizo hatari….. inanishtua hata mimi kuona kiwanja cha ndege kipo pembeni ya bahari yani Pilot akikosea kidogo tu inakua stori nyingine, tazama hii video hapa chini.
-millardayo
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.